WATANZANIA WAHUDHURIA TAMASHA LA FEEL THE BEAT OF SUB ZERO JIJINI JOHANNESBURG CHINI YA UDHAMINI WA BIA YA CASTLE LITE

 Washindi wa Castle Lite kutoka Tanzania wakiwa katika pichja ya pamoja nje ya ukumbi.

Mshindi kupitia Castle Lite Facebook – Edger Marumbo, mwenye T shirt nyeusi akiwa na kaka yake Christopher marumbo mwenye t shirt ya blue ya mistari. Nyuma yao ni Caroline Lupilli, aliyevaa koti pink akiwa na dada yake Ellen Lupilli, mwenye kijaketi cha kijivu na Mshindi kupitia Choice FM – Eric Massinda, mwenye T shirt ya njano na miwani, aliyeongozana na rafiki yake Alex Galinoma, mwenye T shirt ya njano



Ukumbi ulijaa wapenzi wa Castle Lite na Kanye West

Washindi wa Castle Lite kutoka Tanzania wakipata chakula cha jioni kwenye restaurant inayoitwa Butchers Shop iliyopo Mandela squire jijini Johannesburg

Comments