Sunday, February 10, 2013

Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda Akisakata Rhumba na Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Tundu Lissu

Spika wa Bunge laTanzania, Anne Makinda akisakata muziki wa dansi na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, mwishoni mwa wiki.
 

Spika wa Bunge, Anne Makinda akicheza muziki na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kwenye sherehe za kuuaga na kukaribisha mwaka mpya kwenye Viwanja vya Bunge Dodoma juzi usiku baada ya kuahirisha kikao cha Bunge.Picha na Fidelis Felix

No comments:

🔴🔴TABORA ZOO YAENDELEA KUNG'ARA KAMA KITOVU CHA ELIMU, BURUDANI NA UTALII WA NDANI

Na Mwandishi wetu, Tabora. Bustani ya Wanyamapori Tabora (Tabora Zoo) imeendelea kujipambanua kama kivutio muhimu cha elimu na burudani jiji...