Mkuu wa masoko na mawasiliano wa NMB,Imani Kajula akipokea tuzo ya Super Brand kutoka kwa Mkurugenzi wa Super Brand East Africa Jawad Jaffer.
……………………………………………..
Baada ya miaka saba ya uwekezaji
endelevu katika kuboresha huduma, masoko na mtandao wa matawi. NMB sasa
inazaidi ya matawi 148, ATM zaidi ya 500, wateja wanaotumia NMB mobile
kupata huduma zaidi ya 800,000 na huduma mbadala kama intenet banking,
kituo cha huduma kwa wateja na POS. Wateja wa NMB sasa wanapata huduma
popote walipo bila kuhitajika kwenda kwenye tawi la NMB. Maboresho hayo
yameiwezesha NMB kutunukiwa kuwa Super Brand mwaka 2013-2014. NMB imekua namba moja katika sekta ya benki.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa NMB, Mark Wiessing akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa
Clouds Media Group, Joseph Kussaga (Kulia) na Mkuu wa Masoko na
Mawasiliano wa NMB Imani Kajula.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa NMB wakiwa na tuzo ya Super Brand 2013-2014.
Comments