BOHARI YA DAWA (MSD) YAONESHA VIFAA TIBA VYA KISASA KATIKA MAONESHO YA WADAU WA HUDUMA ZA AFYA KUSINI MWA AFRIKA
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Bohari ya
Dawa (MSD),Florida Sianga (kulia)) akiwaelekeza Monica Gofrey (kushoto)
na Geofrey Kandi kifaa tiba aina ya sterilizer inayotumia gesi katika
maonesho ya Shirikisho la Wadau wa Huduma za Afya Kusini Mwa Afrika, leo
kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Wageni hao wakiendelea kupata maelezoKitanda cha wagonjwa ambacho ni baadhi ya vifaa tiba vinavouzwa na MSD
Kifaa Tiba aina ya kitasishaji 'Starilizer' inayotumia gesi
Kitanda cha kujifungulia
Kabati la kusambazia dawa wodini 'Dispensing Trolley'
Banda la MSD linavyoonekana kwenye maonesho hayo
(PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Comments