Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya Prof. Yash Pal Ghai akutana na Wajumbe wa Tume ya Katiba Leo Dar
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph
Warioba (kulia) na Mjumbe wa Tume Bw. Simai Mohamed (katikati) wakiongea na
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya Prof. Yash Pal Ghai katika
ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Feb. 25, 2013). Prof. Ghai
amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu kuhusu uandishi wa Katiba
Mpya.
Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Assaa Rashid
(kushoto) akiongea na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya Prof.
Yash Pal Ghai katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Feb. 25,
2013). Prof. Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu kuhusu
uandishi wa Katiba Mpya.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Palamagamba
Kabudi (kushoto) akiongea na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya
Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu,
Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu
kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph
Warioba (kushoto) akiongea na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya
Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu,
Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu
kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Palamagamba
Kabudi (kushoto) na Bw. Abubakar Ali (katikati) wakiongea na aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya Prof. Yash Pal Ghai katika ofisi za Tume
jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Feb. 25, 2013). Prof. Ghai amekutana na
Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Kenya Prof. Yash
Pal Ghai (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Bw. Casmir Kyuki (kushoto) na Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume Bw. Joseph
Ndunguru katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Feb. 25, 2013). Prof.
Ghai amekutana na Wajumbe na kubadilishana nao uzoefu kuhusu uandishi wa Katiba
Mpya.Picha Zote na Tume ya
Katiba (CRC).
Comments