NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK. SEIF RASHID AZINDUA HUDUMA YA MAWASILIANO BURE KWA WAHUDUMU WA AFYA NA MADAKTARI NCHINI
Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid (katikati), Mkuu wa
Kitengo cha Vodacom Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule (kulia)
Mkurugenzi wa Shirika la Switchboard Ali Block wakionesha mabango ikiwa
ni ishara ya uzinduzi wa kuwawezesha wahudumu wa Afya na madaktari
kuwasiliana kwa simu za mkononi bure, huduma hiyo inatolewa na Vodacom
Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Switchboard ili kurahisisha
huduma za kiafya mahosipitalini. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam jana.…

Salaam jana.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid (kushoto), Mkuu
wa Kitengo cha Vodacom Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule (katikati)
pamoja na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Bw. Salum Mwalim,
wakiteta jambo wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuwawezesha wahudumu wa
Afya na madaktari kuwasiliana kwa simu za mkononi bure huduma hiyo
inatolewa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la
Switchboard ili kurahisisha huduma za Afya mahosipitalini. Hafla hiyo
ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Comments