Majina ya Walimu Wapya wa Shule za Msingi waliopewa Ajira ya Ualimu Serikalini Mwaka 2012-2013 Majina yao Haya Hapa
Walimu wote waliopewa ajira ya
Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa
kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa
kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI
YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na
cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake.Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo
tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.
NB: MAJINA YA WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA
WARUDI KWA WAAJIRI WAO BOFYA HAPO CHINI KUPATA MAJINA YOTE
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13 (1006.83 kB)
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13 (1006.83 kB)
Comments