Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akifungua
Warsha ya Wadau ya Kupitia na Kujidili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko
ya Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini Kulia Mkurugenzi wa
Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Nihgu Warsha imefanyika
kwenye Hotel ya Palmtree Village Bagamoyo.
Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw
Richad Muyungi akimwambia jambo Afisa Mazingira Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Bw Daniel Nkondola Mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Wadau wa
Kujidili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Tabianchi juu ya Wakulima
na Wafugaji Nchini Warsha imefanyika Hotel ya Palmtree Village
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula
akimsikiliza jambo Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya
Makamu wa Raisi Bw Richad Muyungi mara Baada ya Ufunguzi waWarsha ya
Wadau wakupitia na Kujadili Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya
Tabianchi juu ya Wakulima na Wafugaji Nchini.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akiwa
katika Picha ya Pamoja na Washiriki wa Warsha ya Kupitia na Kujadili
Muongozo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya tabianchi juu ya Wakulima na
Wafugaji Nchini.Picha na
Ali Meja
Comments