Sunday, June 28, 2009

Mbilia Bell akifanya mambozz Dom

Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquilino.


Mwanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akicheza muziki na Sapika wa Bunge Samwel Sitta wakati alipotumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquilino.

SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KUTENGENEZA MAZINGIRA RAFIKI YA KAZI

Kibaha, Pwani. Serikali imewataka wakuu wa taasisi za umma kutengeneza mazingira rafiki ya kazi yatakayowawezesha watumishi kuongeza tija na...