Tuesday, November 10, 2015

RAIS MAGUFULI KATIKA ZIARA YA GHAFLA MUHIMBILI, AMJULIA HALI HELEN KIJO BISIMBA

gu1
-Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali juzi.
gu2
-Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali juzi.
gu3
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo jana na kuwafariji wagonjwa.
gu5
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
gu6
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafla kujionea hali halisi.
gu7
Rais Dkt.john Pombe Magufuli akiondoka katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafla kujionea hali halisi.
gu8
(picha na Freddy Maro)
gu4
Rais Dkt.john Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa akina mama aliyelazwa na mtoto wake katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
Post a Comment