Sunday, November 15, 2015

MAANDALIZI YA KIKAO CHA BUNGE YAENDELEA


  Mtangaza nia wa uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita akiongea na mfanyakazi wa Benki ya CRDB katika viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi kariubuni.

  Mtangaza nia wa uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita akiongea na wafanyakazi  wa Benki ya CRDB katika viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi kariubuni.
 Mtangaza nia  wa Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samweli Sita akiongea na baadhi ya waheshimiwa wabunge  kwenye Viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni.
(PICHA NA BENJAMIN SAWE

No comments:

RUZUKU YA SH.MILIONI 250 YATOLEWA KWA WABUNIFU WA MATUMIZI BORA YA NISHATI

📌 Kamishna wa Umeme asema Serikali itaendelea kuwawezesha vijana wabunifu katika teknolojia ya matumizi bora ya nishati 📌 Wabunifu wa kike...