Wednesday, November 11, 2015

BENKI YA EXIM TANZANIA YASHEREHEKEA MSIMU WA DIWALI NA WATEJA WAKE

 Meneja Bidhaa wa benki ya Exim Tanzania Bw. Aloyse Maro akitoa neno la shukrani kwa wageni waalikwa  waliohudhuria hafla ya jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ili kusherehekea msimu wa diwali, jijini Dar es Salaa, mwishoni mwa juma.
Meneja Mwandamizi Wateja wakubwa na Uwekezaji wa Benki ya Exim Tanzania Bi. Khilna Mamlani (mwenye vazi jekundu) akitoa zawadi kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyehudhuria hafla ya jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ili kusherehekea msimu wa diwali, jijini Dar es Salaa, mwishoni mwa juma.
Post a Comment