Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Geleard Masenga wakati alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi huyo mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiteta jambo na Askofu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo . |
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Gileard Masenga akizungumza jambo mbele ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi (hayupo pichani). |
Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akizungumza kuhusu ujenzi wa ngazi kuu za kungilia wodini katika hosptali ya Rufaa ya KCMC ambazo ujenzi wake uligharimu kiasi cha sh Mil 30 ,Fedha ambazo zilitolewa na Dkt Mengi. |
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya ngazi kuu za kuingilia wodini katika hospitali hiyo. |
Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo. |
Comments