Dk Tulia Ackson Mwansasu ameibuka mshindi wa kiti cha Naibu Spika wa Bunge kwa kupata kura 250 sawa na asilimia 71.2% ya kura zote 351 zilizopigwa.
Mh. Magdalena Sakaya amepata kura 101 sawa na asilimia 28.8 ya kura zote zilizopigwa.
Hakuna kura iliyoharibika
Comments