Friday, November 27, 2015

TIGO YAZINDUA MTANDAO WENYE KASI ZAIDI WA 4G LTE JIJINI TANGA

goz1Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Mashariki, Goodluck Charles (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya simu, James Marwa ambaye aliibuka mshindi wa kwanza wa bahati nasibu iliyochezeshwa jana sambamba na uzinduzi wa intaneti yenye kasi zaidi ya 4G LTE jijini Tanga.
goz2Wadau mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo wa intaneti wenye kasi zaidi wa 4G LTE, uliozinduliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, jijini Tanga jana.
goz3
Mkuu wa kitengo cha biashara (B2B) katika kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Rene Bascope, akihutubia hadhira iliyohudhuria uzinduzi wa mfumo wa intaneti wenye kasi zaidi (4G LTE) uliozinduliwa jana jijini Tanga.
goz4Wadau mbalimabli wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, wakihudumiwa na watoa huduma wa kampuni hiyo sambamba na uzinduzi wa huduma ya intaneti yenye kasi zaidi (4G LTE) uliofanyika jijini Tanga jana.
goz5Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Tanga, Nassor Sisiwaya (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (wa kwanza kulia) wakati wa uzinduzi huo.
goz6Mkuu wa wilaya ya Tanga, Abdullah Lutavi akihutubia wakati wa uzinduzi huo.
Post a Comment