Wednesday, November 11, 2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU RATIBA YA UCHAGUZI MDOGO BAADHI YA MAJIMBO NA KATA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote kuwa Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani katika Majimbo na Kata ambazo hazikufanya Uchaguzi tarehe 25 Octoba 2015 kwa sababu za vifo vya wagombea sasa Uchaguzi huu utafanyika tarehe 22 Novemba 2015; 13 Desemba, 2015 na 20 Desemba, 2015.
Majimbo, Kata na tarehe watazofanya Uchaguzi ni kama ifuatavyo:
22 Novemba 2015
Na. JIMBO MKOA
1. LUSHOTO TANGA
2. ULANGA MASHARIKI MOROGORO
22 Novemba 2015
Na KATA HALMASHAURI
1. MULEBA MULEBA KUSINI
2. UYOLE MBEYA MJINI
3. BUKENE SHINYANGA
4. MSINGI MKALAMA
5. BOMANG’OMBE HAI
7. KASULO NGARA DC
8. BUKENE SHINYANGA DC
13 Desemba 2015
Na. JIMBO MKOA
1. ARUSHA MJINI ARUSHA
2. HANDENI MJINI TANGA
13 Desemba 2015
Na KATA HALMASHAURI
1. MVOMERO MVOMERO DC
20 Desemba 2015
Na. JIMBO MKOA
1. LUDEWA NJOMBE
2. MASASI MJINI MTWARA
– Vituo vya kupigia Kura ni vile vilivyotumika wakati wa upigaji Kura za Urais Oktoba 25, 2015
– Vituo vitafunguliwa saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.
– Wanaoruhusiwa kupiga Kura ni wale walio na kadi za Mpiga Kura na wamo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
IMETOLEWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
Kailima, R. K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI
Post a Comment