Thursday, November 12, 2015

BODI YA WAKURUGENZI YAKAGUA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA ZA NHC DAR


Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah akiwaeleza baadhi  ya  Wakurugenzi  wa  Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa namna ambavyo jengo la kitega uchumi lililojengwa na NHC eneo la NHC House Barabara ya Samora.
Maandalizi ya Mradi wa Ujenzi wa NHC Golden Premier Residence yakiendelea kwenye kitalu nambari 711/2 Kawe jijini Dar es Salaam leo.
Mhandisi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Golden Premier Residence akitoa maelezo namna ujenzi wa mradi huo unavyoendelea kwenye kitalu nambari 711/2 Kawe jijini Dar es Salaam.
Ujenzi wa Mradi wa NHC Seven Eleven ukiendelea kwenye kitalu nambari 711/1 Kawe Beach jijini Dar es Salaam leo.
 Mhandisi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Seven Eleven akitoa maelezo namna ujenzi wa mradi huo unavyoendelea kwenye kitalu nambari 711/1 Kawe Beach jijini Dar es Salaam.
 Wakurugenzi  wa  Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa Charles Mafuru, Samson Kassala na Diotrephes Mmari wakitafakari jambo baada ya kupata maelezo ya ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Seven Eleven  unavyoendelea kwenye kitalu nambari 711/1 Kawe Beach jijini Dar es Salaam.
 Ujenzi wa Mradi wa NHC Victoria Place ukiendelea kwenye kitalu nambari 36 &37 Victoria  jijini Dar es Salaam leo. Mradi huo nao ni mmoja kati ya miradi 10 ya NHC iliyotembelewa na Wakurugenzi wa Bodi ya NHC leo.
Ghorofa ya chini ya NHC Victoria Place yenye ukubwa wa ekari mbili ambayo ni mojawapo ya Basement kubwa jijini Dar es Salaam inavyoonekana kwa sasa kwenye kitalu nambari 36 &37 Victoria  jijini Dar es Salaam leo. Ghorofa hiyo ya chini itatumika kuegesha magari zaidi ya 100 ya wamiliki wa nyumba wa jengo hilo. 
 Wakurugenzi  wa  Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa na menejimenti ya NHC wakipata maelezo ya ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Victoria  unavyoendelea kwenye kitalu nambari 36 &37 jijini Dar es Salaam.
Ujenzi wa Mradi wa NHC Morocco Square ukiendelea kwenye kitalu nambari 1,2, 3 & 44 kama unavyoonekana katika eneo la Morocco jijini Dar es Salaam leo.
  Wakurugenzi  wa  Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa na menejimenti ya NHC wakipata maelezo ya ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Morocco Square unavyoendelea kwenye kitalu nambari 1,2, 3 & 44 jijini Dar es Salaam.
 
Ujenzi wa Mradi wa NHC Morocco Square ukiendelea kwenye kitalu nambari 1,2, 3 & 44 kama unavyoonekana katika eneo la Morocco jijini Dar es Salaam leo.

 Jengo la Makazi la ubia kati ya NHC na Q -Park LTD lililopo katika barabara ya Haille Sellasie linavyoonekana kwa sasa ni mojawapo ya mirad ya ubia na NHC yenye mafanikio makubwa ni miongoni mwa ile iliyotembelewa na Bodi leo.
 Jengo la Makazi la ubia kati ya NHC na Q -Park LTD lililopo katika barabara ya Haille Sellasie, Oysterbay jijini Dar es Salaam linavyoonekana kwa sasa ni mojawapo ya mirad ya ubia na NHC yenye mafanikio makubwa ni miongoni mwa ile iliyotembelewa na Bodi leo.
  Jengo la Makazi la ubia kati ya NHC na Quick Properties lililopo katika barabara ya Msasani, Oysterbay linavyoonekana kwa sasa ni mojawapo ya miradi ya ubia na NHC yenye mafanikio makubwa ni miongoni mwa ile iliyotembelewa na Bodi leo.
 Jengo la Makazi la ubia kati ya NHC na Quick Properties lililopo katika barabara ya Msasani, Oysterbay linavyoonekana kwa sasa ni mojawapo ya miradi ya ubia na NHC yenye mafanikio makubwa ni miongoni mwa ile iliyotembelewa na Bodi leo.

 Jengo la Eco Residence linavyoonekana leo ni mojawpo ya miradi iliyotembelewa na Bodi ya Wakurugenzi ya NHC leo.
  Jengo la Eco Residence linavyoonekana leo ni mojawpo ya miradi iliyotembelewa na Bodi ya Wakurugenzi ya NHC leo.

 Ndani ya jengo la NHC House leo
  Ndani ya jengo la NHC House leo
  Ndani ya jengo la NHC House leo
 Ndani ya jengo la NHC House leo
Post a Comment