Wednesday, November 25, 2015

PAPA FRANCIS AWASILI NCHINI KENYA JIONI HII


Papa Francis akisalimiana na Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili nchini Kenya leo ambapo atakuwa na ziara ya siku sita katika nchi za Afrika. Kushoto ni Mke wa Rais Kenyatta, Magret Kenyatta.
Post a Comment