Sunday, November 15, 2015

TAIFA STARS YAING’ANG’ANIA VIBAYA ALGERIA YATOKA SARE YA 2-2 UWANJA WA TAIFA

1
Wachezaji wa timu ya Taifa Stars na Algeria wakichuana vikali kuwania mpira katikati yao wakati wa mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia  uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam huku timu hizo zikitoshana nguvu kwa kufungana magoli 2-2 na kuifanya Taifa Stars kuwa na kibarua kigumu wakati wa mchezo wa maruduano utakaofanyika Novemba 17 mjini Algers Algeria ili kusonga mbele katika michuano hiyo.Taifa Stars  inahitaji kushinda katika mchezo wake huo ili iweze kusonga mbele.
2
Baadhi ya washangilianji wakishangilia kwa nguvu wakati wa mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
3
Hii ni staili moja wapo iliyotumiwa na washngiliaji wa timu ya Taifa Stars katika mchezo huo.
5
Mdau Muddy, Bariki na  marafiki zao walikuwa ni mmoja wa mashuhuda wa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa
6
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.
7
Kikosi cha timu ya Taifa ya Algeria kikiwa katika picha ya pamoja.
Post a Comment