Saturday, August 15, 2015

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC
Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya International Trade Centre (ITC) ya Uswisi ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa kongamano hilo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu  Zanzibar (Utawala Bora)  Mhe Dk Mwinyihaji Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani  Bw. Iddi Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora London.
MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini.
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania  katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

No comments: