Friday, August 14, 2015

MCHECHU ATOA MADA KONGAMANO LA DIASPORA NA WAJASIRIAMALI LIKIENDELEA KWA SIKU YA PILI JIJINI DAR ES SALAAM


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu  akitoa mada kwenye moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, 

Washiriki wa kongamano la Diaspora, lililopo katika siku ya mipi wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiendelea katika kongamano hilo
Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Suleiman Saleh akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu kwenye kongamano hilo ambapo mada mbalimbali zilizungumzwa kuhusiana na uwekezaji nyumbani kwa Watanzania waliopo nje ya nchi.


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Nehemia Kyando Mchechu akitoa mada kwenye moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, 


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana na Rosemary Jairo aliyekuwa Moderator wa mjadala huoChukwu-Emeka Chikezie akiongoza moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress kwa pamoja na Bw. Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Watendaji Wakuu nchini, Bw. Richard Miles, Mwakilishi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Marekani nchini na Dkt. Silencer Mapuranga, Mchumi kutoka ITC.

Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora.
Bw. Miles nae akichangia wakati wa mjadala kuhusu mabadiliko ya kiuchumi nchini Tanzania na namna ya kuwashirikisha wafanyabiashara wadogo na wakati katika maendeleo ya nchi.
Balozi Mulamula akizungumza wakati wa mjadala huo .
Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing akiwasilisha mada kuhusu Mapinduzi ya Viwanda nchini na wajibu wa Diaspora katika ukuaji wa SME's
Balozi Lu akiwasilisha mada yake.

Post a Comment