Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongoza sherehe fupi za uzinduzi wa jengo jipya la mikutano la CCM mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa kampuni ya ujenzi ya CRJE Ndugu Hu Bo akihutubia kwenye sherehe za uzinduzi wa Jengo la kisasa la mikutano la CCM mjini Dodoma.
Viongozi wakifurahia hotuba ya Mkurugenzi wa CRJE
Balozi wa China Nchi Mhe. LU Youqing akizungumza wakazi wa uzinduzi wa Jengo jipya la Ukumbi wa mikutano la CCM mjini Dodoma.
Bendera za CCM zikipepea nje ya ukumbi wa jengo jipya la kisasa la mikutano Dodoma Convention Center.
(Picha zote na Adam Mzee)






No comments:
Post a Comment