MTEMVU APOKEA MSAADA WA VYAKULA,NGUO ULIOTOLEWA NA KAMPUNI YA GOODONE KWA AJILI YA KITUO CHA YATIMA CHA ALQAM,TANDIKA DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo hicho
Mtemvu akipoea balo la nguo za mitumba
Mtemvu akizungumza mkatika hafla hiyo ambapo aliipongeza kampuni hiyo ya Goodone kwa kuwa na moyo wa kutoa msaada huo
Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Goodone watoto wanaolelewa kituoni hapo pamoja na uongozi wa kituo hicho
Wakiomba dua
Baadhi ya watoto yatima wanaolelewa kituoni hapo
Msaada uliotolewa kituoni hapo
Comments