Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni kwaajili ya kumchagua mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki katika Mji Mdogo wa Usa River,Joshua Nassari alipata kura 387 na kura 2 za hapana. |
Wanachama wa Chadema wakifurahia jambo katika mkutano huo |
WanaChadema wakifatilia kwa makini mkutano mkuu wa jimbo ambao pia ulifanya uchaguzi wa wabunge wa viti Maalumu,Rebeca Mngodo aliibuka mshindi wa kwanza kwa kupata kura 62 kati ya wagombea watano. |
Wanachama wa Chadema wakifurahia jambo katika mkutano huo Mkuu wa jimbo uliofanyika katika Mji Mdogo wa Usa River. |
Aliekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha,Joshua Nassari(kulia) akizungumza jambo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema,Dk Elly Macha. |
Comments