Thursday, July 16, 2015

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI

unnamed
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi  Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...