Friday, July 24, 2015


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Baba wa Mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu alipofika nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la nyumba  NHC Nehemia Mchechu alipofika nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Baba yake.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi wa Shirika la nyumba NHC Nehemia Mchechu nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo alipofika kwa ajili ya kwa kuaga mwili wa marehemu Baba yake. (Picha na OMR)

No comments:

🔴🔴HIFADHI YA MPANGA-KIPENGERE YAENDELEA KUWA LULU YA VIZAZI VIJAVYO

  📍Wanafunzi wa Nyanda za Juu Kusini Wapiga Kambi Kujifunza na Kutali  Na Beatus Maganja, Njombe. Wahenga walioshiba tunu za uhifadhi na ut...