Sunday, July 26, 2015

DKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR BAADA YA KUJITAMBULISHA MIKOA KADHAA,APOKELEWA KWA KISHINDO


 Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani)
alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodomaakitokea
Mkoani  Dodoma. 

PICHA NA MICHUZI JR-MICHUZI MEDIA GROUP
 Wakanazi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao
 Mkazi wa Bagamoyo akifurahia jambo
 Wananchi wakimshangilia Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijitambulisha kwao hapo mjani mjini Bagamoyo

No comments:

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZEE WA MIKOA YOTE NCHINI, AFUNGUA UKURASA MPYA WA MAZUNGUMZO YA KITAIFA

  Dodoma, Agosti 27, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na wazee wa Mkoa wa Dodoma pam...