Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasichana wa Kisukuma nyumbani kwa Mzee Katinda kwenye kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi nyumbani kwake Kibaoni, Katavi Juai 22, 2015.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Watoto wa familia ya mzee Katinda wa Kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele wakicheza ngoma ya Kisukuma mbele ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Mheshiiwa Pinda yuko katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni, katavi.
Mke wa Waziri Mama Tunu Pinda akiwaonyesha picha mbalimbali alizopiga vijana wa kabila la Kisukuma aliokutana nao nyumbani kwa Mzee Katinda katika kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele ambako yeye na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wako katika mapumziko mafupi kijijini Kibaoni.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifafanua jambo kwa kutumia kompyuta ndogo (Ipad) wakati alipozungumza na wanafamilia wa Mzee Katinda wa kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi nyumbani kwake Kibaoni, Katavi julai 22, 2015.
Comments