Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini Arusha ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwamgombea wa ubunge jimbo la Arusha kupitia CCM.
Mtia nia ya ubunge kupitia CCM mwanasheria Victor Njau akimwaga sera zake mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Comments