Kabula Kalamu wa eneo la Lalanayo wilayani Mlele akitoka bombani kuteka maji huku akiwa amembeba mgogongoni mwanae Masunga Mayunga Jula 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni wilayni Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wanawake wa Kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele wakielekea majumbani baada ya shughuli zao mbalimbali Julai 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba wilayani Mlele Julai 16, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments