Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga
Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam
Meneja wa Afya na Usalama mahali pa kazi wa TBL, Renatus Nyanda akitoa maelezo kwa maofisa hao jinsi ya kuzingatia usalama watakapotembelea kiwanda hicho
Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam
Maofisa hao wakipata maelezo kuhusu upishi wa bia kiwandani hapo
Mtaalamu wa Ubora wa Bia wa TBL, Lydia Soi akitoa maelezo kuhusu jinsi wanavyozingatia ubora wa bia zinazotengenezwa kiwandani hapo
Maofisa wakipata maelezo jinsi bia inavyochachuliwa
Maofisa wakitembelea kitengo cha ufungashaji wa bia
Mpishi Mwandamizi wa Bia wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, Elikana Ngosha akiwapatia maelezo Maofisa wa Jeshi walio kwenye mafunzo waliotembelea kiwanda hicho
Maofisa wakiangalia mitambo kiwandani
Maofisa wa JWTZ na TBL wakiwa katika picha ya pamoja
Comments