Tuesday, July 21, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA EXIM NA TBEA, IKULU DAR ES SALAAM

3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwakaribisha Wajumbe wa Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini kwa Ikulu jijini Dar esSalaam, kwa ajili ya mazungumzo.
Picha zote na OMR
1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Benki ya EXim, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Eng. Futakamba Mbogo (katikati) na Mshauri wa Kampuni ya TBEA, Skander Ettab, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, Mwakilishi Mkuu wa Kampuni ya Uandisi ya Kimataifa ya China, TBEA, Liu Zheng You, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Benki ya Exim, baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 21, 2015.
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kampuni ya TBEA, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 21, 2015.

No comments:

WAZIRI WA FEDHA: BAJETI YA 2026/27 KUIJENGA TANZANIA YA DIRA YA 2050

  Na Eva Valerian, WF, Dodoma Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayot...