Bw. Nehemiah Mchechu wa Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mzazi Dr. John Edward Mchechu kilichotokea jana tarehe 21/07/2015 nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa mtoto wake Mbezi Beach, Plot 156, Beach Street.
Heshima za mwisho kwa marehemu zitatolewa nyumbani kwa mtoto wake Mbezi Beach, siku ya Ijumaa asubuhi na kufuatiwa na safari ya kuelekea Muheza, Tanga kwa ajili ya Mazishi. Mazishi yatafanyika Kijiji cha Enzi, Muheza - Tanga siku ya Jumamosi tarehe 25/07/2015.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa Marehemu popote pale walipo.
Comments
king size bed protector cover ,
pintuck bedding king size ,