Tuesday, July 21, 2015

JANETI MBENE AJITOSA ILEJE MKOA WA SONGWE

mb1
Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo la ileje mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliojitokeza kumlaki katika kata ya Isoko walayani hapo. Picha na Humphrey Shao
mb2
Naibu waziri wa viwanda na biashara na mgombea ubunge katika jimbo Ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene akitembea huku wananchi wakimfuata nyuma mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake na
wajumbe wa halmashauri wa kata ya Isoko kuomba wamchague katika uchaguzi wa kura za maoni za CCM. Picha na Humphrey Shao.
mb3
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali. Picha na Humphrey Shao.

No comments:

WAZIRI WA FEDHA: BAJETI YA 2026/27 KUIJENGA TANZANIA YA DIRA YA 2050

  Na Eva Valerian, WF, Dodoma Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayot...