Dogo kapasua hapa si mchezo kazi nzuri Diamond Platnumz.
Mwanamuziki Nguli Tanzania, Afrika na duniani Mtanzania Nasib Abdul Maarufu kama “Diamond Plutnamz” amebeba tuzo moja tayari katika tuzo za muziki za MTV AFRIKA MUSIC AWARD (MTV MAMA) ambazo zinaonyeshwa moja kwa moja kwenye luninga hiyo ya muziki ya MTV nchini Afrika Kusini katika jiji la Durban Kwazulu -Natal ambapo ameshinda kipengere cha Besta Live Act MTV MAMA. Kikosi kizima cha Fullshangwe kinakupongeza n kwa mafanikio hayo na kinakutania kila mafanikio katika mwendelezo wa tuzo hizo.
Comments