Monday, July 20, 2015

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA ALIPOKUWA AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO LEO

  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza, wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.(PICHA NA MICHUZIJR  NA ADAM MZEE)
 Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.Mh Magufuli yuko jimboni kwake Wilayani Chato kuwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge.

Mke wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji huo kwa mapokezi mazuri na makubwa waliyoyapata wilayani humo.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimia
wanachama wa CCM pamoja na Wananchi waliofika kumlaki Dkt Magufuli jioni ya leo katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza wilayani Chato mkoa wa Geita.

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono pia na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao. 
 Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.
  Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akiwasalimia na kuwashukuru katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.

Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.
   Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge wao.

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge wao.
Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na furaha ya kupitiliza mara baada kumuona Dkt Magufuli, katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
  Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na furaha ya kupitiliza mara baada kupewa ruhusa ya kusalimiana na Dkt Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
 Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na furaha ya kupitiliza mara baada kupewa ruhusa ya kusalimiana na Dkt Magufuli, katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
 Baadhi ya Wananchi wakiwa wameziba barabara wakitaka kumuona na kumsalimia Dkt Magufuli ikiwemo pia kumpongeza kwa kuteuliwa kuipeperusha bendera ya CCM katika kuwania Uraisi kupitia chama hicho
  Wafuasi wa CCM wakishangilia mara baada ya kumuona Dkt
Magufuli alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa
Muganza,wilayani Chato jioni ya leo
 Mmoja
wa Wafuasi wa CCM akishangilia mara baada ya kumuona Dkt Magufuli
alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa
Muganza,wilayani Chato jioni ya leo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kata ya Kibehe wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa mji mdogo wa Mganza sehemu ambayo safari yake ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Kibehe wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa kata ya Mganza sehemu ambayo safari yake ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Nyisanzi wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa kata ya Mganza sehemu ambayo safari yake ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.
 Mgombea wa Urais wa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Nyisanzi ambapo aliwashukuru kwa muda wote aliowatumikia kama mbunge kwa miaka 20.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa kijiji cha Nyisanzi akiwa njiani kuelekea Mganza.
 Msafara wa mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye kata ya Mganza.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili kwenye mji mdogo wa  Mganza
 Umati wa wakazi wa mji mdogo wa Mganza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM aliwashukuru na kuwaaga kwa miaka 20 aliowatumikia kama Mbunge wao na kuwataka wananchi wachague Mbunge mchapakazi kama yeye.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimu wakazi wa mji mdogo wa Mganza kabla ya kumkaribisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kushukuru na kuwaaga wananchi hao.
 Mgombea wa Urais kwatiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dk.john Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Mganza kwenye mkutano wa kuwaaga baada ya miaka 20 ya kuwatumikia kama Mbunge wao.
 Wakazi wa mji mdogo wa Mganza wakimsikiliza mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli wakati wa kuwaaga baada ya kuwatumikia kama mbunge wao kwa miaka 20.
 Umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano wa Magufuli kwenye mji mdogo wa Mganza.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa kata ya Mganza ambapo aliwaaga rasmi baada ya kuwatumikia kwa miaka 20 kama mbunge wao.
 Wananchi wanaorudisha kadi zao za vyama vya upinzani wakiandikisha majina yao kwa mmoja wa viongozi wa CCM kata ya Mganzo.
 Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipokea kadi kutoka kwa wanachama wa vyama vya upinzani ambapo zaidi ya wanachama 150 walirudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM akiwaaga wakazi wa mji mdogo wa Mganza mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwaa

No comments: