TANZANIA NA COMORO ZAENDELEZA USHIRIKIANO WA KISWAHILI KWA KUANZISHA MAZUNGUMZO YA KUFUNDISHA LUGHA HIYO MASHULENI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainab Telack, kupitia kwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Victoria Mwanziva, ametamka kuwa Serikali inatambua na ...