DIAMOND PLATNUMZ AWASHUKURU WADAU WALIOFANIKISHA USHINDI WA TUZO YA (MTV MAMA)

????????????????????????????????????
Salam Sharaf  Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari  huku mwaamuziki huyo mwenye miwani  akifuatilia wakati wa  mazungumzo na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kwa mchango wao kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika  jiji la Durban  Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni mwa wiki iliyopita na kumfanya mwanamuziki huyo alishinda alishinda  katika kipengere cha Mtumbuizaji Bora (Besta Live Act)  katika tuzo hizo za MTV MAMA. Mkutano huo umefanyika kwenye hoteli ya Tansoma Kariakoo jijini Dar es salaam.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
????????????????????????????????????
Salam Sharaf  Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari  huku mwaamuziki huyo mwenye miwani  akifuatilia alipozungumza na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika  jiji la Durban  Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni
????????????????????????????????????
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  akizungumza na waandishi wa habari  huku akiwana tuzo yake aliyoipata nchini Afrika Kusini.
????????????????????????????????????
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo uliofanyika  kwenye hoteli ya Tansoma jijini Dar es salaam.
????????????????????????????????????
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari  huku katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  akipozi kwa picha mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. wa pili kutoka kulia ni Mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz Bw. Said Fella.
????????????????????????????????????
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  akipozi kwa picha  na mameneja wake mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.  kulia ni  Bw. Said Fella  na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.
????????????????????????????????????
 Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz)  akipozi kwa picha  na mameneja wake mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana.  kulia ni  Bw. Said Fella  na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.

Comments