Tuesday, July 21, 2015

MAJAMBAZI WALIOTEKA KITUO CHA POLISI SITAKISHARI UKONGA WATIWA MBARONI , WATATU WAUAWA WAKIKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA MAJIBIZANO YA RISASI NA POLISI

 Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam,  Kamishina
Suleiman Kova akionyesha baadhi ya bunduki zilizoporwa katika kituo cha polisi
cha Sitakishari  Ukonga wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam.
 Waandishi wa habari katika Mkutano ulioitishwa na  Kamanda wa Polisi wakanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
 Baadhi ya Bunduki zilizo porwa katika kituo cha Polisi cha Staki Shari Dar es Salaam zikionyeshwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaa
 Sehemu ya  Waandishi wa habari
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina
Suleimani Kova akizungumza na waandishi wa habari
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina
Suleimani Kova akionyesha, fedha Tsh. Milioni 170, zilizokuwa zimechimbiwa shimo na majambazi hao zikiwemo na bunduki
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina
Suleimani Kova akionyesha majina ya majambazi hao
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  Kamishina
Suleimani Kova akionyesha baadhi ya pikipiki zilizo kuwa zikitumiwa na majambazi hao
Baadhi ya askari na waandishi wakimsikiliza Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,  Kamishina Suleimani Kova alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari

No comments: