Thursday, July 09, 2015

JK AWASILI DODOMA TAYARI KWA VIKAO VYA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye kiwanja cha Ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM  Ndugu Nape Nnauye mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.Jakaya Kikwete akiimba na wana CCM waliojitokeza kumpokea kwenye
uwanja wa ndege mkoani Dodoma. 
(Picha na Adam Mzee)

No comments:

DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai 23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaa...