Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Felix Maagi, Kaimu Mkurugenzi Mkuu ambaye ndiye Mkurugenzi wa Fedha wa NHC aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu, Nehemia Mchechu akitoa nasaha zake wakati wa hafla hiyo ambapo alipongeza umoja uliojengeka miongoni mwa wafanyakazi na kuwataka wafanyakazi waige mfano bora wa utendaji kazi uliotukuka kwa wastaafu waliotumikia Shirika kwa muda mrefu kwa uadilifu mkubwa na hatimaye kuwataka wafanyakazi wawe mabalozi wazuri mitaani wanakokwenda.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Felix Maagi, Mkurugenzi wa Fedha wa NHC aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu, Nehemia Mchechu akitoa nasaha zake wakati wa hafla hiyo ambapo alipongeza umoja uliojengeka miongoni mwa wafanyakazi na kuwataka wafanyakazi waige mfano bora wa utendaji kazi uliotukuka kwa wastaafu waliotumikia Shirika kwa muda mrefu kwa uadilifu mkubwa na hatimaye kuwataka wafanyakazi wawe mabalozi wazuri mitaani wanakokwenda.
Wafanyakazi wa NHC wakicheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na bendi ya Polisi Jazz Band.Wafanyakazi wakiwa wanafuatilia mwennendo wa sherehe hiyo.
Wafanyakazi wakiwa wanafuatilia mwennendo wa sherehe hiyo.
Afisa Mwandamizi wa Rasilimaliwatu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Simon Luoga akizungumza kwenye hafla hiyo.
Wageni maalumu ambao ndiyo haswa wakusudiwa wa shughuli hiyo, wastaafu wa NHC wakiwa katika jukwaa maalumu wakifuatilia mwenendo wa sherehe.
Wageni maalumu ambao ndiyo haswa wakusudiwa wa shughuli hiyo, wastaafu wa NHC wakiwa katika jukwaa maalumu wakifuatilia mwenendo wa sherehe.
Mkurugenzi wa Rasilimali wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akitoa nasaha zake wakati wa hafla hiyo.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Felix Maagi, Mkurugenzi wa Fedha wa NHC aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu, Nehemia Mchechu akikabidhi zawadi kwa mama Ruth Manda ambaye anastaafu utumishi wa umma baada ya kulitumikia Shirika kwa kipindi kirefu kwa uadilifu mkubwa.
Meneja wa Shirika
la Nyumba la Taifa (NHC) mkoa wa Ilala Jackson Maagi akitoa nasaha zake kwa
wastaafu.
No comments:
Post a Comment