Thursday, December 10, 2015

BARAZA LA HALMSHAURI YA WILAYA YA MOSHI LAMCHAGUA MICHAEL KILAWILA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI


Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiwa ukumbini hapo kabla ya kuapishwa.
Wagombea waliopitishwa na Chadema kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu Mwenyekiti wakiwa katika ukumbi wa halmashauri hiyo.
Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kabla ya kuapishwa.
 
Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiapishwa kuwa madiwani rasmi.
Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri hiyo,Moris Makoyi akiwa katika kikao cha kwanza cha baraza hilo.
Katibu tawala wilaya ya Moshi,Remida Ibrahim akiongoza zoezi la upigaji kura kwa ajili yakumpata Mwenyekiti na Makamu wake wa Halmashauri hiyo.
Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akiteta jambo na Diwani wa kata ya Kahe ,Rodrick Mmanyi wakati wa kikao cha baraza hilo.
Post a Comment