Sunday, July 05, 2015

MRI YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA SABASABA 2015


Wageni kutoka Chuo Kikuu cha North-western cha Marekani Dk. Sally Harris na mume wake Paul Harris wakifurahia madini aina ya nikeli kwenye banda la Chuo cha Madini Dodoma (MRI) katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
MR2
Mmoja wa watembeleaji wa maonesho ya  sabasaba akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo katika banda la  Chuo cha Madini Dodoma (MRI)
MR3
Mtaalam katika  Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mkunde Msaky (Kulia, Katikati) akielezea  shughuli zinazofanywa na chuo hicho kwa mmoja wa watembeleaji kutoka Ghana.
MR4
Mtaalam katika  Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mkunde Msaky (Kulia, Katikati) akionesha na kuelezea kifaa cha kuchorongea mwamba kwa mmoja wa watembeleaji katika banda hilo.
MR5
Wakati Mwarika (kushoto) kutoka  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  akisoma  kipeperushi kwenye  banda la  Chuo cha Madini Dodoma (MRI
MR6
Makamu Mkuu wa  Chuo cha Madini Dodoma (MRI) (Taaluma) Ramadhan Singano (wa nne kutoka kulia) akitoa maelezo kwa  Karoli  Michali (kushoto) ambaye ni mmoja wa watembeleaji wa maonesho ya  Sabasaba kwenye banda hilo.
MR8
Washiriki wa maonesho ya kimataifa ya Sabasaba kutoka Chuo cha Madini Dodoma (MRI) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja.

No comments: