Sunday, July 05, 2015

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR CHAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN


sh1
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,
sh2
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.
sh3
VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano
SH6
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kupitisha Jina la Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM. SH7
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali, akitoa maelezo ya kikao hicho cha Kamati Maalumu ya CCM Zanzibar.  
SH5
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe Kamati Maalum ya CCM Zanzibar baada ya kupitisha Jina lake kuwa  Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.

No comments: