Tuesday, July 07, 2015

FASTJET KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA VIWANJA VYA SABA SABA‏


????????????????????????????????????Afisa Mtendaji wa Biashara wa Fastjet (kulia), Bw.David Chacha akiwaelezea wateja wa Fastjet kuhusiana huduma zinatolewa walipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam maarufu kama Sabasaba jana yalifikia .
“Fastjet ni shirika ambalo linatoa huduma za usafiri wa ndege kwa bei ya chini kabisa,
????????????????????????????????????Wateja wakipata huduma mbali katika banda hilo.

????????????????????????????????????Wateja wakiendelea kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa wahudumu Fastjet.
????????????????????????????????????Kushoto ni Mmoja wa wateja wa Fastjet akipata maelezo ya huduma ya kununua Tikieti ya Ndege kupitia Mtandao wa simu kutoka kwa  Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro, 

No comments: