Wednesday, October 07, 2015

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI

HBalozi mteule wa Hispania nchini Tanzania Mhe. Felix Costales akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete  Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.
NBalozi mteule wa Ubelgiji nchini Tanzania Mhe. Paul Cartier akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete  Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015.
PBalozi mteule wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Monica Patricio Clemente akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...