Wednesday, October 07, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA UMEME UNAOTUMIA NGUVU YA UPEPO MKOANI SINGIDA

 k
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoa kitambaa kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida jana Oct 06, 2015
i
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti kwenye eneo la uwekezaji wa mradi wa kuzalisha umeme kwa njia ya upepo katika kijiji cha Irawo Inyamikumi Mkoani Singida baada ya kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi huo jana Oct 06,2015 
m
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi kwenye ghafla ya uwekaji wa jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo Mkoani Singida, ghafla hiyo ilifanyika jana Oct 06, 2015 katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida.
r
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kati kati akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa kampuni ya Wind East Afrika Group wakati wa ghafla ya uwekaji jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida jana Oct 06,2015
u
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wawekezaji wa kampuni ya Wind East Africa Group inayozalisha umeme unaotumia nguvu za upepo baada ya kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi huo jana Oct 06, 2015 katika kijiji cha Irawo Inyamikumi Mkoani Singida. 
 (Picha na OMR)
Post a Comment