Sunday, October 11, 2015

MWENYEKITI UWT TAIFA AENDELEA NA KAMPENI MBARALI

1Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbarali Pirmo Hamed kushoto akiongea jambo wakati Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba alipokuwa akimnadi mgombea huyo.

2Katikati ni Mwenyekiti wa UWT  Taifa Sophia Simba na kulia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbarali wakati wa mkutano wa hadhara.
Post a Comment