Sunday, October 11, 2015

MKUTANO WA KAMPENI CCM JIMBO LA MTAMBWE KASKAZINI PEMBA

4

Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi na wanaCCM katika mkutano wa hadhara wa Kampeni Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba Oktoba 10, 2015 katika Kijiji cha Makoongeni,
[Picha na Ikulu.]
3
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa  CCM na Balozi Ali Karume akiwasalimia wananchi na wanachama wa Chama cha   Mapinduzi CCM wa Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika  kijiji cha Makoongeni Mkoa wa Kaskazini Pemba,
2   5
Wananchi wa Chama cha Mapinduzi CCM  Jimbo la Mtambwe wakisikiliza sera za Chama cha Mapinduzi zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika  kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Post a Comment