Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar.
Balozi Amina Salum Ali katikati akifafanua jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar.kushoto yake ni Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo Zanzibar Rafii Haji Makame.
Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Balozi Amina Salum Ali kuhusiana na matarajio yake endapo atapata ridhaa ya kupeperusha Bedera ya CCM katika Urais wa Tanzania Mkutano uliofanyika Bwawani mjini Zanzibar.
-Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha akito taarifa kwa vyombo vya Habari kuhusiana na mabadiliko ya Mipaka na Idadi ya majimbo katika hoteli ya Grand Palas Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Hbari waliohudhuria katika Mkutano na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha alipotoa taarifa ya mabadiliko ya Mipaka na Idadi ya majimbo katika hoteli ya Grand Palas Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.





No comments:
Post a Comment